Nchi ya Kenya imetuma Askari wengine 144 Nchini Haïti, kwa ajili ya kulinda amani na kurejesha utulivu Nchini humo ambao imepotea kwa miaka kadhaa sasa. Askari hao, ambao ni Wanaume 120 na Wanawake 24, wameelekea Haiti asubuhi ya Februari 6, 2025 baada ya kuagwa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen.

Idadi ya Askari hao kutoka Nchini Kenya inafikisha jumla ya Askari Polisi 744 waliotumwa Nchini Haiti kwa ajili ya kupambana na magenge ya kihalifu yaliyokithiri Nchini humo pamoja na uvunjwaji wa amani.

Nchi ya Kenya 🇰🇪 imetuma Askari wengine 144 Nchini Haïti🇭🇹, kwa ajili ya kulinda amani na kurejesha utulivu Nchini humo ambao imepotea kwa miaka kadhaa sasa. Askari hao, ambao ni Wanaume 120 na Wanawake 24, wameelekea Haiti asubuhi ya Februari 6, 2025 baada ya kuagwa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen. Idadi ya Askari hao kutoka Nchini Kenya inafikisha jumla ya Askari Polisi 744 waliotumwa Nchini Haiti kwa ajili ya kupambana na magenge ya kihalifu yaliyokithiri Nchini humo pamoja na uvunjwaji wa amani.
Like
1
· 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·94 Views