Mtoto wa Lionel Messi, Thiago Messi amefunga mabao (11) kwenye mchezo ulioikutanisha klabu yake ya Inter Miami ya Watoto wenye umri chini ya miaka (13) dhidi ya klabu ya Atlanta United ambapo mchezo umemaliza kwa ushindi Inter Miami wa mabao (12-0).

Thiago Messi amefanya hivyo kwa kufunga mabao hayo (11) ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Junior kuifungia klabu yake ya Al Nasr (Watoto) mabao matano (5) kwenye mchezo mmoja.

Mtoto wa Lionel Messi, Thiago Messi amefunga mabao (11) kwenye mchezo ulioikutanisha klabu yake ya Inter Miami ya Watoto wenye umri chini ya miaka (13) dhidi ya klabu ya Atlanta United ambapo mchezo umemaliza kwa ushindi Inter Miami wa mabao (12-0). Thiago Messi amefanya hivyo kwa kufunga mabao hayo (11) ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Junior kuifungia klabu yake ya Al Nasr (Watoto) mabao matano (5) kwenye mchezo mmoja.
Like
1
· 1 Comments ·0 Shares ·104 Views