Mwaka 2017, Program hii ya aina ya CHATGPT kabla haijaanza kuitwa Akili bandia, Mfanyabiashara Tajiri na maarufu Duniani, Bill Gates alisema kuwa Tekinolojia hii inaweza kuwa tishio baadaye. Kwa sasa inaonyesha jinsi gani Teknolojia za AI zinavyoshika kasi Duniani kote.
Mwanzilishi huyo wa kampuni ya Microsoft, Bill gates alisema kuwa kampuni ambazo zinaunda Maroboti kwa ajili ya kuchukua ajira za Watu wanatakiwa kulipia kodi ya kuhusu mashine (Roboti) hizo kama wanavyofanya kwa Wanadamu wanavyolipa kodi.
Kutokana na maendeleo ya Tekinolojia ya AI inavyokwenda kwa kasi na inatishia kuchukua kazi za Watu mbalimbali basi, inapaswa wale Wamiliki wa maroboti kulipa kodi ya mashine zao ili kuwepo na usawa huo kati ya mashine hizo na Binadamu (Watu) kwa sababu Watu wanalipa kodi kwa ajili ya kazi zao ila maroboti hayo hayalipi kodi kwa kufanya kazi hizo za Kibinadamu.

0 Kommentare
·0 Anteile
·163 Ansichten