Chukua hii.

Kama utakwenda Nchini Japan na kusikia neno "Johatsu" (ใ˜ใ‚‡ใ†ใฏใค) tambua kuwa ni Mtu au Watu waliotoweka (kupotea) kutoka kwenye familia zao kutokana na sababu mbalimbali kama vile migogoro kwenye Ndoa, kushindwa kuoa, kukimbia madeni, kufukuzwa kazi na kadhalika. Watu hao huacha maisha yao na kuishi bila kujulikana wapi walipo kwa muda fulani na inaweze kuwa ni ndani ya Nchi ya Japan au nje Nchi yaani mataifa mengine kama vile Tanzania DR Congo , Burundi , Marekani , Mexico , Kenya ,....

Pamoja na Watu hao kupotea, lakini wanasaidiwa na Makampuni ambayo yamebobea katika kazi hiyo yaani Watu au Mtu anayehitaji huduma hiyo unalipia kisha kuhamishwa usiku. Makampuni hayo maalumu yanajulikana kwa jina la "Wahamishaji Usiku" huwasaidia Watu kupotea (unaweza kusema kujiteka, kujipoteza,...).

Haya Mashirika au Makampuni husaidia Watu kutoweka kwa kuwahamisha kwa siri sana na mara nyingi kazi hii hufanyika usiku na wanapokupeleka inakuwa ni siri kubwa yaani kuanzia mahali pa kulala, utakula nini, vitambulisho vipya vya kusafiria Kampuni hizo ndizo zinafanya kila kitu kwa mujibu wa mkataba wenu.

Pia Kampuni hizi zitahakikisha zinasafisha kumbukumbu zote za Mteja na kusahaulika kwenye Jamii, Nyumbani na Nchi kwa ujumla kisha unaanza mwanzo mpya wa kuanzisha maisha mengine kwenye Nchi au mahali walipo kupeleka.

Chukua hii. Kama utakwenda Nchini Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต na kusikia neno "Johatsu" (ใ˜ใ‚‡ใ†ใฏใค) tambua kuwa ni Mtu au Watu waliotoweka (kupotea) kutoka kwenye familia zao kutokana na sababu mbalimbali kama vile migogoro kwenye Ndoa, kushindwa kuoa, kukimbia madeni, kufukuzwa kazi na kadhalika. Watu hao huacha maisha yao na kuishi bila kujulikana wapi walipo kwa muda fulani na inaweze kuwa ni ndani ya Nchi ya Japan au nje Nchi yaani mataifa mengine kama vile Tanzania ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ, Mexico ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช,.... Pamoja na Watu hao kupotea, lakini wanasaidiwa na Makampuni ambayo yamebobea katika kazi hiyo yaani Watu au Mtu anayehitaji huduma hiyo unalipia kisha kuhamishwa usiku. Makampuni hayo maalumu yanajulikana kwa jina la "Wahamishaji Usiku" huwasaidia Watu kupotea (unaweza kusema kujiteka, kujipoteza,...). Haya Mashirika au Makampuni husaidia Watu kutoweka kwa kuwahamisha kwa siri sana na mara nyingi kazi hii hufanyika usiku na wanapokupeleka inakuwa ni siri kubwa yaani kuanzia mahali pa kulala, utakula nini, vitambulisho vipya vya kusafiria Kampuni hizo ndizo zinafanya kila kitu kwa mujibu wa mkataba wenu. Pia Kampuni hizi zitahakikisha zinasafisha kumbukumbu zote za Mteja na kusahaulika kwenye Jamii, Nyumbani na Nchi kwa ujumla kisha unaanza mwanzo mpya wa kuanzisha maisha mengine kwenye Nchi au mahali walipo kupeleka.
Like
1
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท479 Views