Vinicius Junior amegoma kusaini mkataba mpya ndani ya klabu ya Real Madrid. Klabu hiyo imepanga kukutana nae ili kumshawishi zaidi huku mshahara ukiboresha hadi kufikia Euro milioni (15€) karibu na ule wa Mbappé. Pamoja na ongezeko hilo la mshahara lakini Vinicius Junior amepangua mkataba huo.

Klabu Real Madrid imeomba kukutana nae ili kuangalia namna ya kufanya maboresho zaidi.
(The Athletic).

Vinicius Junior amegoma kusaini mkataba mpya ndani ya klabu ya Real Madrid. Klabu hiyo imepanga kukutana nae ili kumshawishi zaidi huku mshahara ukiboresha hadi kufikia Euro milioni (15€) karibu na ule wa Mbappé. Pamoja na ongezeko hilo la mshahara lakini Vinicius Junior amepangua mkataba huo. Klabu Real Madrid imeomba kukutana nae ili kuangalia namna ya kufanya maboresho zaidi. (The Athletic).
Like
1
· 0 Comments ·0 Shares ·254 Views