Kwenye kikao cha pamoja kati ya Jumuiya mbili za SADC na ile ya EAC, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo , Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, ambaye alihudhuria kwa njia ya Mtandao, aliweka wazi matakwa yake kwenye mkutano huo ambapo alisema baadhi ya mambo yakiwemo yafuatayo:

- Nchi ya Rwanda iambiwe ukweli, ionywe na iachane na uvamizi wake huko Mjini Goma.

- Vikosi vya Rwanda viondoke mara moja kwenye maeneo ya DR Congo ambayo wanayamiliki pasipo uhalali.

- Kufunguliwa kwa Uwanja wa Ndege wa Mjini Goma kwa ajili ya misaada ya kibinadamu.

- Kurejesha Mji wa Goma kwa Mamlaka ya Serikali ya DR Congo.

Kwenye kikao cha pamoja kati ya Jumuiya mbili za SADC na ile ya EAC, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, ambaye alihudhuria kwa njia ya Mtandao, aliweka wazi matakwa yake kwenye mkutano huo ambapo alisema baadhi ya mambo yakiwemo yafuatayo: - Nchi ya Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ iambiwe ukweli, ionywe na iachane na uvamizi wake huko Mjini Goma. - Vikosi vya Rwanda viondoke mara moja kwenye maeneo ya DR Congo ambayo wanayamiliki pasipo uhalali. - Kufunguliwa kwa Uwanja wa Ndege wa Mjini Goma kwa ajili ya misaada ya kibinadamu. - Kurejesha Mji wa Goma kwa Mamlaka ya Serikali ya DR Congo.
0 Comments ยท0 Shares ยท15 Views