Baada ya kuwa "Best Man & Woman" wa Ndoa ya Jux na Priscy kutoka Nchini Nigeria , tunaambiwa Diamond Platnumz na Zuchu nao wamepanga kujibu mashambulizi kwa kufunga Ndoa.

Baada ya kuwa "Best Man & Woman" wa Ndoa ya Jux na Priscy kutoka Nchini Nigeria 🇳🇬, tunaambiwa Diamond Platnumz na Zuchu nao wamepanga kujibu mashambulizi kwa kufunga Ndoa.
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·373 Views