"Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki"
"Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo, hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda” - Paul Kagame, Rais wa Rwanda akiongea kwenye mkutano wa EAC na SADC.

"Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo, hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda” - Paul Kagame, Rais wa Rwanda 🇷🇼 akiongea kwenye mkutano wa EAC na SADC.
0 Commenti
·0 condivisioni
·25 Views