Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo . Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .
Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo.
Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.

Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda 🇷🇼 (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩. Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩.
Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo.
Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.
0 Kommentare
·0 Anteile
·114 Ansichten