Kama ukijaaliwa kufikia mwaka 2030 basi tambua mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utakua mara mbili (2) ambapo mara ya kwanza (1) Waislam watafunga mwezi wa Januari na mfungo wa pili (2) watafunga mwezi wa Disemba. Hii ni kwa sababu ya kalenda ya Kiislamu inakua inatangulia siku kumi (10) mbele ya kalenda ya Gregory ambapo huhama mapema kila mwaka.
Hivyo, mnamo mwaka 2030 Mwezi wa Ramadhani utatarajiwa kuanza tarehe 4 Januari na kujirudia tena Mwezi Desemba Tarehe 26, 2030. Mara ya mwisho kutokea Ramadhani mbali (2) ndani ya mwaka mmoja (kalenda ya Gregory) ilikua mwaka 1997 kwa maana hiyo imepita miaka (28) tangu litokee tukio hilo hadi kutokea tena mwaka 2030 kisha litaweza kujirudia tena ifikapo mwaka 2063.

0 Kommentare
·0 Anteile
·120 Ansichten