Performance ya rapa Kendrick Lamar kwenye usiku wa kilele cha mashindano ya NFL Superbowl 2025 imevunja rekodi na kuwa performance ya Superbowl iliyotazamwa zaidi kuliko performance nyingine ndani ya muda mfupi.
Mpaka sasa performance hiyo imejikusanyia jumla ya watazamaji Milioni 133.5 huku ikijikusanyia watazamaji zaidi kwa asilimia 3 kupita performance ya mwaka jana.
Takwimu hizo zimetolewa na Roc Nation ambao ni hushirikiana na Apple Music katika kuandaa performance za Superbowl.

0 Comments
·0 Shares
·24 Views