"Wakati nakuja Dar nikitokea Kigoma nilimdanganya Mzee (baba yangu). Nilikuwa mwalimu Kigoma, nilimdanganya Mzee kuwa nimepata shule nyingine Dar es Salaam na hapo sikuwa nimepata shule.

"Mimi mwalimu wa Sekondari nafundisha kuanzia Form One hadi Four. Nilikuwa mwalimu wa Hesabu na Chemistry

"Kwahiyo nilimwambia Mzee nimepata shule nyingine wanalipa hela nyingi kuliko Kigoma. Akaniruhusu. Ukweli sikuwa na shule na sikujua nafikia wapi"

"Nilijilipua kwamba nikifika Dar natoboa. Nilikuja na Treni. Sikutaka kupanda basi. Nilikuwa nawacheki washkaji zangu waliopo Dar wote waliniambia hawapo.

"Nilimcheki dogo mmoja aliniambia yupo Dar anaishi Ubungo. Nilimwambia na Mimi nakuja Dar kuna ishu naifuatilia Gongo la Mboto (nilimdanganya)"- Ndaro, Mchekeshaji (Tanzania) kupitia Clouds TV.

"Wakati nakuja Dar nikitokea Kigoma nilimdanganya Mzee (baba yangu). Nilikuwa mwalimu Kigoma, nilimdanganya Mzee kuwa nimepata shule nyingine Dar es Salaam na hapo sikuwa nimepata shule. "Mimi mwalimu wa Sekondari nafundisha kuanzia Form One hadi Four. Nilikuwa mwalimu wa Hesabu na Chemistry "Kwahiyo nilimwambia Mzee nimepata shule nyingine wanalipa hela nyingi kuliko Kigoma. Akaniruhusu. Ukweli sikuwa na shule na sikujua nafikia wapi" "Nilijilipua kwamba nikifika Dar natoboa. Nilikuja na Treni. Sikutaka kupanda basi. Nilikuwa nawacheki washkaji zangu waliopo Dar wote waliniambia hawapo. "Nilimcheki dogo mmoja aliniambia yupo Dar anaishi Ubungo. Nilimwambia na Mimi nakuja Dar kuna ishu naifuatilia Gongo la Mboto (nilimdanganya)"- Ndaro, Mchekeshaji (Tanzania) kupitia Clouds TV.
Like
1
· 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·48 Views