"Kuanzia Msimu ujao tunakuja na kanuni ya Golikipa Mmoja tu wakigeni kwenye kila timu haiwezekani kwenye timu moja kuwe na magolikipa wawili wa kigeni haiwezekani hii”

“Nilikua namtania Rais mwenzangu wa shirikisho aliniambia Mbona kwenye ligi yako kuna wachezaji wa kigeni wengi sana nikamjibu kua siwadekezi watu wavivu, ukiangalia pale Yanga kuna mabeki wengi wakizawa ndio wanacheza hata Siimba pia hivyo hivyo” - W. Karia, Rais wa Shirikisho la Mpira Nchini Tanzania (TFF) kupitia Wasafi FM.

"Kuanzia Msimu ujao tunakuja na kanuni ya Golikipa Mmoja tu wakigeni kwenye kila timu haiwezekani kwenye timu moja kuwe na magolikipa wawili wa kigeni haiwezekani hii” “Nilikua namtania Rais mwenzangu wa shirikisho aliniambia Mbona kwenye ligi yako kuna wachezaji wa kigeni wengi sana nikamjibu kua siwadekezi watu wavivu, ukiangalia pale Yanga kuna mabeki wengi wakizawa ndio wanacheza hata Siimba pia hivyo hivyo” - W. Karia, Rais wa Shirikisho la Mpira Nchini Tanzania (TFF) kupitia Wasafi FM.
Like
1
· 0 Kommentare ·0 Anteile ·56 Ansichten