Mtengeneza maudhui (Content Creator) kwenye mtandao wa Tiktok, Fanuel John Masamaki maarufu Zerobrainer0, ameshinda kipengele cha mtengeneza maudhui bora wa michezo kwa mwaka 2024 barani Afrika, katika tuzo zilizofanyika Februari 8, 2025 Nchini Afrika Kusini.

Zerobrainer0 ana Wafuasi zaidi ya milioni (12) kwenye mtandao wake wa TikTok huku TikToker huyo akjizoelea umaarufu kwa maudhui yake ya kuchekekesha kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Pia anatajwa kama ‘TikToker’ wa kuangaliwa zaidi kwa mwaka 2025.

Mtengeneza maudhui (Content Creator) kwenye mtandao wa Tiktok, Fanuel John Masamaki maarufu Zerobrainer0, ameshinda kipengele cha mtengeneza maudhui bora wa michezo kwa mwaka 2024 barani Afrika, katika tuzo zilizofanyika Februari 8, 2025 Nchini Afrika Kusini. Zerobrainer0 ana Wafuasi zaidi ya milioni (12) kwenye mtandao wake wa TikTok huku TikToker huyo akjizoelea umaarufu kwa maudhui yake ya kuchekekesha kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Pia anatajwa kama ‘TikToker’ wa kuangaliwa zaidi kwa mwaka 2025.
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·103 Views