Rais wa Senegal , Bassirou Diomaye Faye ametangaza mpango wa kubadilisha majina ya mitaa yenye majina ya enzi za ukoloni na kuyapa majina ya mashujaa wa kitaifa na matukio muhimu ya kihistoria ya Nchi ya Senegal. Mpango huo ulioanzishwa wakati wa mkutano wa hivi karibuni wa Baraza la Mawaziri ni sehemu ya juhudi za kurejesha utambulisho wa kitamaduni wa Nchi hiyo.
Mpango huyo utahusu pia kubadilisha majina na kuandika upya historia ya Nchi ya Senegal katika kwa umma, alisema Rais huyo ambapo pia aliongeza kwa kusema “Lazima tuelimishe Vijana wetu kuhusu Watu na matukio yaliyounda na kuijenga Senegal"

Rais wa Senegal πΈπ³, Bassirou Diomaye Faye ametangaza mpango wa kubadilisha majina ya mitaa yenye majina ya enzi za ukoloni na kuyapa majina ya mashujaa wa kitaifa na matukio muhimu ya kihistoria ya Nchi ya Senegal. Mpango huo ulioanzishwa wakati wa mkutano wa hivi karibuni wa Baraza la Mawaziri ni sehemu ya juhudi za kurejesha utambulisho wa kitamaduni wa Nchi hiyo.
Mpango huyo utahusu pia kubadilisha majina na kuandika upya historia ya Nchi ya Senegal katika kwa umma, alisema Rais huyo ambapo pia aliongeza kwa kusema “Lazima tuelimishe Vijana wetu kuhusu Watu na matukio yaliyounda na kuijenga Senegal"
0 Comments
Β·0 Shares
Β·134 Views