Mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Nchini Liberia , George Weah, amekana kufanya mazungumzo yoyote na Mmiliki wa mtandao wa X Elon Musk kuhusiana na kununua tuzo yake ya Ballon D’or aliyoshinda mwaka 1995 kwa thamani ya Dola bilioni moja (1).

Mchezaji huyo amesema kuwa Musk hakuwahi kutaka kununua tuzo hiyo kutoka kwake, kama ilivyoripotiwa mitandaoni hivi karibuni. Pamoja na hayo, Weah ameongeza kuwa Tuzo hiyo haiuzwi hata Watoto wake alishawaambia kuwa Tuzo hiyo ni mali ya Afrika, hata ikitokea wakapatwa na shida, haitakiwi kuuzwa kwa sababu ndio Tuzo pekee bara la Afrika inajivunia.

Mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Nchini Liberia 🇱🇷, George Weah, amekana kufanya mazungumzo yoyote na Mmiliki wa mtandao wa X Elon Musk kuhusiana na kununua tuzo yake ya Ballon D’or aliyoshinda mwaka 1995 kwa thamani ya Dola bilioni moja (1). Mchezaji huyo amesema kuwa Musk hakuwahi kutaka kununua tuzo hiyo kutoka kwake, kama ilivyoripotiwa mitandaoni hivi karibuni. Pamoja na hayo, Weah ameongeza kuwa Tuzo hiyo haiuzwi hata Watoto wake alishawaambia kuwa Tuzo hiyo ni mali ya Afrika, hata ikitokea wakapatwa na shida, haitakiwi kuuzwa kwa sababu ndio Tuzo pekee bara la Afrika inajivunia.
Love
1
· 0 Comments ·0 Shares ·158 Views