"Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla

Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako

Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ?

Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

"Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso🇧🇫 alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso🇧🇫, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ? Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
Love
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·159 Views