Kundi la Waasi wa M23 wameingia Mjini Bukavu Mkoani Sud-Kivu ambao ni Mji wa pili (2) kwa ukubwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakati huo huo Rais wa Nchi Tshisekedi yupo zake Jijini Munich Nchini Ujerumani kwenye kikao cha usalama.

Kundi la Waasi wa M23 wameingia Mjini Bukavu Mkoani Sud-Kivu ambao ni Mji wa pili (2) kwa ukubwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wakati huo huo Rais wa Nchi Tshisekedi yupo zake Jijini Munich Nchini Ujerumani ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช kwenye kikao cha usalama.
Like
Love
2
ยท 1 Comments ยท0 Shares ยท97 Views