Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Félix Tshisekedi, amemshutumu kwa mara nyingine tena Mtangulizi wake Joseph Kabila kuwa anaunga mkono Kundi la Waasi la M23. Mnamo Agosti 2024, Tshisekedi alidai kuwa Kabila alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa muungano wa Wakuu wa kisiasa wa (AFC) unaoongozwa na Corneille Nangaa na Wapiganaji wa kundi la M23.
Katika mahojiano, Tshisekedi alisema sababu iliyofanya Kabila kutoshiriki uchaguzi wa Desemba 2024 ni kwa sababu alikuwa na shughuli nyingi na AFC.
“Tusimzungumzie Joseph Kabila. Amekataa kabisa kugombea uchaguzi na anajipanga kupambana na serikali kwa sababu yeye ni AFC.” - alisema Tshisekedi
Rais huyo ameyasema hayo tena katika Baraza la Usalama la Kimataifa Mjini Munich Nchini Ujerumani Februari 14, 2025, ya kwamba Kabila alienda uhamishoni kwa sababu anafadhili Waasi wa (AFC) ikiwemo Kundi la Waasi la M23.
Hata hivyo, Chama cha Joseph Kabila cha (PPRD) kimekanusha vikali matamshi ya Rais Félix Tshisekedi kwa kusema kuwa Kiongozi wao hausiki na Kundi hilo la Waasi.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Félix Tshisekedi, amemshutumu kwa mara nyingine tena Mtangulizi wake Joseph Kabila kuwa anaunga mkono Kundi la Waasi la M23. Mnamo Agosti 2024, Tshisekedi alidai kuwa Kabila alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa muungano wa Wakuu wa kisiasa wa (AFC) unaoongozwa na Corneille Nangaa na Wapiganaji wa kundi la M23.
Katika mahojiano, Tshisekedi alisema sababu iliyofanya Kabila kutoshiriki uchaguzi wa Desemba 2024 ni kwa sababu alikuwa na shughuli nyingi na AFC.
“Tusimzungumzie Joseph Kabila. Amekataa kabisa kugombea uchaguzi na anajipanga kupambana na serikali kwa sababu yeye ni AFC.” - alisema Tshisekedi
Rais huyo ameyasema hayo tena katika Baraza la Usalama la Kimataifa Mjini Munich Nchini Ujerumani 🇩🇪 Februari 14, 2025, ya kwamba Kabila alienda uhamishoni kwa sababu anafadhili Waasi wa (AFC) ikiwemo Kundi la Waasi la M23.