TSHISEKEDI JIFUNZE KWA NETANYAHU

"Mnakumbuka kauli ya Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba hata iweje hata zungumza na Hamas ?
Tena Netanyahu akajitapa akisema kamwe Israel haitazungumza na magaidi, Netanyahu alisema hayo akijua fika ana sapoti kubwa ya Marekani inayompa nguvu na uwezo wa kila aina unaohitajika wa kijeshi!!

Lakini mwisho wa siku Netanyahu alikaa chini na Hamas na kuzungumza baada ya hapo mateka pamoja na wafungwa wanaachiwa amani imerudi kiasi Gaza

Somo kwa Tshisekedi kaa chini uzungumze na M23 vinginevyo unaenda kutengeneza serikali ndani ya serikali, jeshi la Congo ni ungaa halina uwezo wa kukabiliana na M23, Tshisekedi unatoa wapi kiburi cha kukataa kuzungumza na M23?

Washirika wa Congo nao kila siku vikao vingii lakini hatua za kukabiliana na M23 zimekuwa chache!! Tshisekedi kubali mazungumzo na M23 jifunze kwa Netanyahu!!!" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

TSHISEKEDI JIFUNZE KWA NETANYAHU "Mnakumbuka kauli ya Waziri mkuu wa Israel🇮🇱 Benjamin Netanyahu kwamba hata iweje hata zungumza na Hamas ? Tena Netanyahu akajitapa akisema kamwe Israel haitazungumza na magaidi, Netanyahu alisema hayo akijua fika ana sapoti kubwa ya Marekani inayompa nguvu na uwezo wa kila aina unaohitajika wa kijeshi!! Lakini mwisho wa siku Netanyahu alikaa chini na Hamas na kuzungumza baada ya hapo mateka pamoja na wafungwa wanaachiwa amani imerudi kiasi Gaza Somo kwa Tshisekedi kaa chini uzungumze na M23 vinginevyo unaenda kutengeneza serikali ndani ya serikali, jeshi la Congo ni ungaa halina uwezo wa kukabiliana na M23, Tshisekedi unatoa wapi kiburi cha kukataa kuzungumza na M23? Washirika wa Congo nao kila siku vikao vingii lakini hatua za kukabiliana na M23 zimekuwa chache!! Tshisekedi kubali mazungumzo na M23 jifunze kwa Netanyahu!!!" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
Like
1
· 0 Comments ·0 Shares ·93 Views