Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeomba msaada wa kijeshi kutoka Nchini Chad katika jitihada zake za kupambana na Waasi wa kundi la M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda . Waziri anayeshughulikia masuala ya kikanda wa DR Congo alikutana na Rais wa Chad, Mahamat Idriss Deby Itno, Jumanne akimuwakilisha Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Rais wa Chad na kusasishwa kwenye wa mtandao wa Facebook.
Maelezo ya kina ya mazungumzo yao hajawekwa wazi. Mmoja wa Maafisa wa Chad anayeyefahamu mazungumzo hayo alisema Chad inalibeba ombi la kuombwa msaada na DR Congo, lakini bado haijafanya maamuzi kuhusu ombi hilo. Chanzo kutoka Ofisi ya Rais DR Congo C kimeiambia BBC kuwa kuwa Nchi hiyo imeomba msaada wa kijeshi na kidiplomasia kutoka Nchini Chad.
Hata hivyo chanzo hicho ambacho hakijataka kutambulishwa kwa sababu za ndani, hakijatoa maelezo zaidi. Msemaji wa Serikali ya Chad, Gassim Cherif, hakujibu ombi la kutoa maoni yake kuhusu hili, kwa mujibu wa Reuters. Kwa upande wake, Msemaji wa Rais Tshisekedi, Tina Salama, alisema hana taarifa yoyote kuhusu suala hilo.
Wiki iliyopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad aliiambia Reuters kuwa kupeleka msaada wa kijeshi DR Congo ni "taarifa za tetesi" bado haijathibitishwa rasmi.
(BBC)

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐จ๐ฉ imeomba msaada wa kijeshi kutoka Nchini Chad ๐น๐ฉ katika jitihada zake za kupambana na Waasi wa kundi la M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda ๐ท๐ผ. Waziri anayeshughulikia masuala ya kikanda wa DR Congo alikutana na Rais wa Chad, Mahamat Idriss Deby Itno, Jumanne akimuwakilisha Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Rais wa Chad na kusasishwa kwenye wa mtandao wa Facebook.
Maelezo ya kina ya mazungumzo yao hajawekwa wazi. Mmoja wa Maafisa wa Chad anayeyefahamu mazungumzo hayo alisema Chad inalibeba ombi la kuombwa msaada na DR Congo, lakini bado haijafanya maamuzi kuhusu ombi hilo. Chanzo kutoka Ofisi ya Rais DR Congo C kimeiambia BBC kuwa kuwa Nchi hiyo imeomba msaada wa kijeshi na kidiplomasia kutoka Nchini Chad.
Hata hivyo chanzo hicho ambacho hakijataka kutambulishwa kwa sababu za ndani, hakijatoa maelezo zaidi. Msemaji wa Serikali ya Chad, Gassim Cherif, hakujibu ombi la kutoa maoni yake kuhusu hili, kwa mujibu wa Reuters. Kwa upande wake, Msemaji wa Rais Tshisekedi, Tina Salama, alisema hana taarifa yoyote kuhusu suala hilo.
Wiki iliyopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad aliiambia Reuters kuwa kupeleka msaada wa kijeshi DR Congo ni "taarifa za tetesi" bado haijathibitishwa rasmi.
(BBC)
0 Comments
ยท0 Shares
ยท75 Views