Mkuu wa Muungano wa Waasi ikiwemo Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema kuwa kama Nchi ya TChad itakubali ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la kutuma Jeshi lake Nchini DR Congo, itakuwa ni uhaini kama ilivyo kwa Rais wa DR Congo Félix Tshisekedi.

Nandaa ameimbia Tchad iachane na mpango huo kwasababu watakuwa wamefanya kosa kubwa maana wakifanya hivyo wajiandae kupokea Wanajeshi wake wakiwa wamepoteza maisha (wamekufa)

Mkuu wa Muungano wa Waasi ikiwemo Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema kuwa kama Nchi ya TChad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ itakubali ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ la kutuma Jeshi lake Nchini DR Congo, itakuwa ni uhaini kama ilivyo kwa Rais wa DR Congo Félix Tshisekedi. Nandaa ameimbia Tchad iachane na mpango huo kwasababu watakuwa wamefanya kosa kubwa maana wakifanya hivyo wajiandae kupokea Wanajeshi wake wakiwa wamepoteza maisha (wamekufa)
Like
2
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท18 Views