Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo , Felix Tshisekedi ameitaka Nchi ya Marekani kununua madini moja kwa moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiitaja ndio "mmiliki halisi" wa rasilimali hizo na sio Nchi Rwanda .

Tshisekedi amesema kuwa anaanza kwa kutoa ofa hiyo kwa Marekani kwanza huku akitoa pendekezo hilo pia liko wazi kwa mataifa ya Umoja Ulaya (EU) na wanunuzi wengine wanaotafuta na kununua madini kutoka Nchini Rwanda kwa sasa.

Rais huyo amewaonya Mataifa yanayonunua madini kutoka Nchini Rwanda kuwa wanachukua madini yaliyoibwa kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kwahiyo wanatakiwa kununua kwa mmiliki halali. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Rwanda ni moja ya kati ya Nchi zinauza madini mengi barani Afrika kwa Mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo 🇨🇩, Felix Tshisekedi ameitaka Nchi ya Marekani 🇺🇸 kununua madini moja kwa moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiitaja ndio "mmiliki halisi" wa rasilimali hizo na sio Nchi Rwanda 🇷🇼. Tshisekedi amesema kuwa anaanza kwa kutoa ofa hiyo kwa Marekani kwanza huku akitoa pendekezo hilo pia liko wazi kwa mataifa ya Umoja Ulaya (EU) na wanunuzi wengine wanaotafuta na kununua madini kutoka Nchini Rwanda kwa sasa. Rais huyo amewaonya Mataifa yanayonunua madini kutoka Nchini Rwanda kuwa wanachukua madini yaliyoibwa kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kwahiyo wanatakiwa kununua kwa mmiliki halali. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Rwanda ni moja ya kati ya Nchi zinauza madini mengi barani Afrika kwa Mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia.
0 Commentaires ·0 Parts ·35 Vue