"Naona Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amefunga safari hadi Congo kumuona Rais Tshisekedi, sijui ni kipi hasa kinaendelea katika jumuiya ya Afrika mashariki lakini ni kama kuna muungano ndani ya muungano, eeeh kuna muungano kati ya Congo na Burundi ambao unalenga kupambana dhidi ya Rwanda

Yaani ukiwatazama Congo na Burundi ni kama wameungana kupambana na Rwanda na M23 eeeh ipo wazi na tayari mapigano kati ya majeshi ya Congo Burundi dhidi ya Rwanda na M23 yameshuhudiwa, EAC wasipodhibiti hali ya Congo mzozo huu utaenda kutanuka na kuwa wa kikanda

Ngoja tuone ila yajayo sio mazuri kwa diplomasia ya EAC , kiufupi ziara ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, nchini Congo inalenga kuonana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, huku lengo kuu ikiwa na mazungumzo kuhusu mzozo unaolikumba eneo la mashariki mwa Kongo" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

"Naona Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amefunga safari hadi Congo kumuona Rais Tshisekedi, sijui ni kipi hasa kinaendelea katika jumuiya ya Afrika mashariki lakini ni kama kuna muungano ndani ya muungano, eeeh kuna muungano kati ya Congo na Burundi ambao unalenga kupambana dhidi ya Rwanda Yaani ukiwatazama Congo na Burundi ni kama wameungana kupambana na Rwanda na M23 eeeh ipo wazi na tayari mapigano kati ya majeshi ya Congo Burundi dhidi ya Rwanda na M23 yameshuhudiwa, EAC wasipodhibiti hali ya Congo mzozo huu utaenda kutanuka na kuwa wa kikanda 😭 Ngoja tuone ila yajayo sio mazuri kwa diplomasia ya EAC , kiufupi ziara ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, nchini Congo inalenga kuonana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, huku lengo kuu ikiwa na mazungumzo kuhusu mzozo unaolikumba eneo la mashariki mwa Kongo" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
0 Commenti ·0 condivisioni ·51 Views