"Huyu ni mwandishi wa nyimbo za Beyonce, Usher, Nick Minaj, Chris Brown, alishawahi kifanya kazi na Michael Jackson! Amekuja kwenye Tuzo za @traceawards na stori page zote ni kuhusu mimi kufanan nae sana @seangarrettthepen imagine ppzi hili tumepiga yeye alishai kupiga picha ivo na mimi ukifatilia utakuta napenda sana kupiga picha ivo!! (Another post itafuata) asa watu wengine walikua wanamfata apa Zanzibar wakidhani na mimi wanamuita " - Lil Ommy, Mtangazaji wa Wasafi FM.

"Huyu ni mwandishi wa nyimbo za Beyonce, Usher, Nick Minaj, Chris Brown, alishawahi kifanya kazi na Michael Jackson! Amekuja kwenye Tuzo za @traceawards na stori page zote ni kuhusu mimi kufanan nae sana @seangarrettthepen imagine ppzi hili tumepiga yeye alishai kupiga picha ivo na mimi ukifatilia utakuta napenda sana kupiga picha ivo!! (Another post itafuata) asa watu wengine walikua wanamfata apa Zanzibar wakidhani na mimi wanamuita ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†" - Lil Ommy, Mtangazaji wa Wasafi FM.
0 Comments ยท0 Shares ยท86 Views