Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa.
1. Kanuni ya Arsene Wenger:
Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho.
2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone):
Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani.
3. Challenge System:
Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata.
NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote.
4. Waamuzi kusimamisha muda:
Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika.
NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.