Uingereza imesitisha kutoa baadhi ya misaada ya moja kwa moja kwa Nchi ya Rwanda kufuatia kuendelea kwa machafuko ya yanayosababishwa na Vikundi huko Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kikiwemo Kikundi cha Waasi cha M23 ambacho kinadaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda.
Uamuzi huo unakuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Jijini Kigali, Rwanda na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Jijini Kinshasa, DR Congo.

Uingereza 🇬🇧 imesitisha kutoa baadhi ya misaada ya moja kwa moja kwa Nchi ya Rwanda 🇷🇼 kufuatia kuendelea kwa machafuko ya yanayosababishwa na Vikundi huko Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 kikiwemo Kikundi cha Waasi cha M23 ambacho kinadaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda.
Uamuzi huo unakuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Jijini Kigali, Rwanda na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Jijini Kinshasa, DR Congo.
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·56 Visualizações