Baada ya kujiondoa kwenye Umoja wa Nchi Magharibi (ECOWAS) na kuunda Umoja wao wa Mataifa wa Sahel (AES), Nchi za Niger , Mali , na Burkina faso , zimezindua rasmi Bendera yake mpya ya Umoja huo.

Umoja huo wa (AES) baada ya kuanzisha Pasi ya kusafiria (Pasipoti) na Kikosi cha Wanajeshi Elfu wa pamoja tano (5000), umepanga pia kuanzisha (kuunda) sarafu moja inayotumika katika Mataifa hayo.

Ikumbukwe kwamba Nchi hizo tatu (3) zinazoongozwa Kijeshi baada ya Majeshi ya Nchi hizo kupundua Kiongozi waliokuwepo madarakani

Baada ya kujiondoa kwenye Umoja wa Nchi Magharibi (ECOWAS) na kuunda Umoja wao wa Mataifa wa Sahel (AES), Nchi za Niger πŸ‡³πŸ‡ͺ, Mali πŸ‡²πŸ‡±, na Burkina faso πŸ‡§πŸ‡«, zimezindua rasmi Bendera yake mpya ya Umoja huo. Umoja huo wa (AES) baada ya kuanzisha Pasi ya kusafiria (Pasipoti) na Kikosi cha Wanajeshi Elfu wa pamoja tano (5000), umepanga pia kuanzisha (kuunda) sarafu moja inayotumika katika Mataifa hayo. Ikumbukwe kwamba Nchi hizo tatu (3) zinazoongozwa Kijeshi baada ya Majeshi ya Nchi hizo kupundua Kiongozi waliokuwepo madarakani
0 Commenti Β·0 condivisioni Β·52 Views