#Repost @georgejob_gj
MASTER KI NI MVP TUSISAHAU.
Tusisahau kua huyu Aziz Ki ndiye MVP wa ligi yetu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 haya anayo yafanya sio kwa Bahati Mbaya au kwa sababu Pamba ni wabovu Master Ki is a versatile player
Goli la pili alilo piga ukiangalia mentality yake ilivyo change kwa haraka kutoka kutaka kutoa pasi na kufanya maamuzi ya kupiga shuti la kucave golini utagundua Azizi Ki ni mchezaji Mwenye akili kubwa sana ya Mpira.
Pamba walizidiwa kimbinu kwenye kila sehemu Substitution walizo fanya ya Nakibinge na Habib Kyombo wallijaribu kutaka kubadilisha mchezo lakini mbinu ya Yanga bado iliendelea kutawala mchezo.
Yona Amos moja ya Makipa Bora sana nchini bahati mbaya leo kakutana na Yanga iliyo Bora sana kimbinu karibu magoli yote aliyofungwa ni magoli ambayo sio ya kumlaumu ni magoii ya kiufundi.
NB: Ikangalombo apewe muda au Mali ipo?
(George Job, Mchambuzi)

Tusisahau kua huyu Aziz Ki ndiye MVP wa ligi yetu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 haya anayo yafanya sio kwa Bahati Mbaya au kwa sababu Pamba ni wabovu Master Ki is a versatile player 🙌
Goli la pili alilo piga ukiangalia mentality yake ilivyo change kwa haraka kutoka kutaka kutoa pasi na kufanya maamuzi ya kupiga shuti la kucave golini utagundua Azizi Ki ni mchezaji Mwenye akili kubwa sana ya Mpira.
Pamba walizidiwa kimbinu kwenye kila sehemu Substitution walizo fanya ya Nakibinge na Habib Kyombo wallijaribu kutaka kubadilisha mchezo lakini mbinu ya Yanga bado iliendelea kutawala mchezo.
Yona Amos moja ya Makipa Bora sana nchini bahati mbaya leo kakutana na Yanga iliyo Bora sana kimbinu karibu magoli yote aliyofungwa ni magoli ambayo sio ya kumlaumu ni magoii ya kiufundi.
NB: Ikangalombo apewe muda au Mali ipo?
(George Job, Mchambuzi)
0 التعليقات
·0 المشاركات
·134 مشاهدة