Kweli kabisa, nakubaliana na Gérard Piqué

"Hakuna mtu anayeweza kulipa tiketi ya €100 au €200 au hata €300 kufuatilia mechi inayomalizika kwa 0-0, ningependa kwamba timu zote mbili zipate pointi 0 endapo mechi itamalizika 0-0." - Gérard Piqué, Mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona.

Kweli kabisa, nakubaliana na Gérard Piqué 🤣 "Hakuna mtu anayeweza kulipa tiketi ya €100 au €200 au hata €300 kufuatilia mechi inayomalizika kwa 0-0, ningependa kwamba timu zote mbili zipate pointi 0 endapo mechi itamalizika 0-0." - Gérard Piqué, Mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona.
0 Commentaires ·0 Parts ·54 Vue