Serikali ya Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ) imetangaza kuwa Bidhaa (Biashara) kutoka Miji ya Goma na Bukavu ambayo ni Miji inayopatikana Mashariki mwa DR Congo kulipa ushuru wa kuingia kwenye Mikoa mingine ambayo inasimamiwa na Serekali ya Kinshasa.

Miji ya Goma na Bukavu inadhibitiwa na Waasi wa kundi la M23 na inachukuliwa kama Nchi nyingine ndani ya DR Congo huku Serekali ya Kinshasa ikizitaka Nchi nyingine Duniani kutotambua Miji hiyo kama sehemu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Waasi wa kundi la M23 wamesema kuwa wapo kwenye hatua za mwisho ya kutangaza Viongozi wao katika Miji hiyo ambapo wanasema kuwa wataanda uchaguzi ili kuwapata Viongozi wataongoza Miji hiyo ambayo ipo chini ya Uongozi wao.

Hata hatua nyingine, Serekali ya Kinshasa imetangaza rasmi Mji wa Uvira kuwa ndiyo Mji Mkuu wa Serekali ya Mkoa wa Sud-Kivu na Makazi ya muda ya Gavana wa Mkoa huo wa Sud-Kivu baada ya Mji wa Bukavu kuvamiwa na kudhibitiwa na Waasi wa M23.

Serikali ya Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩) imetangaza kuwa Bidhaa (Biashara) kutoka Miji ya Goma na Bukavu ambayo ni Miji inayopatikana Mashariki mwa DR Congo kulipa ushuru wa kuingia kwenye Mikoa mingine ambayo inasimamiwa na Serekali ya Kinshasa. Miji ya Goma na Bukavu inadhibitiwa na Waasi wa kundi la M23 na inachukuliwa kama Nchi nyingine ndani ya DR Congo huku Serekali ya Kinshasa ikizitaka Nchi nyingine Duniani kutotambua Miji hiyo kama sehemu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Waasi wa kundi la M23 wamesema kuwa wapo kwenye hatua za mwisho ya kutangaza Viongozi wao katika Miji hiyo ambapo wanasema kuwa wataanda uchaguzi ili kuwapata Viongozi wataongoza Miji hiyo ambayo ipo chini ya Uongozi wao. Hata hatua nyingine, Serekali ya Kinshasa imetangaza rasmi Mji wa Uvira kuwa ndiyo Mji Mkuu wa Serekali ya Mkoa wa Sud-Kivu na Makazi ya muda ya Gavana wa Mkoa huo wa Sud-Kivu baada ya Mji wa Bukavu kuvamiwa na kudhibitiwa na Waasi wa M23.
Like
1
· 0 Comments ·0 Shares ·37 Views