Nchi ya Ujerumani imepanda kusitisha misaada kwa Nchi ya Rwanda kutokana na kujihusisha kwao na Kundi la Waasi wa M23 ambao limefanikiwa kuiteka Miji ya Goma na Bukavu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo . Tayari Rwanda imeshafahamishwa na Ujerumani kuhusu mpango huo.

Aidha, Nchi ya Rwanda imekuwa ikinufaika na misaada kutoka Nchini Ujerumani inayokadiriwa kufikia thamani ya wastani wa Dola za Kimarekani milioni 53 kwa mwaka ambayo imekuwa ikitolewa katika nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, uzalishaji wa chanjo na mabadiliko ya tabia Nchi.

Nchi ya Ujerumani 🇩🇪 imepanda kusitisha misaada kwa Nchi ya Rwanda 🇷🇼 kutokana na kujihusisha kwao na Kundi la Waasi wa M23 ambao limefanikiwa kuiteka Miji ya Goma na Bukavu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩. Tayari Rwanda imeshafahamishwa na Ujerumani kuhusu mpango huo. Aidha, Nchi ya Rwanda imekuwa ikinufaika na misaada kutoka Nchini Ujerumani inayokadiriwa kufikia thamani ya wastani wa Dola za Kimarekani milioni 53 kwa mwaka ambayo imekuwa ikitolewa katika nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, uzalishaji wa chanjo na mabadiliko ya tabia Nchi.
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·73 Visualizações