Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeahidi kutoa Dola milioni tano (5) ambazo ni zaidi ya Shilingi bilioni (13) kwa yeyote atakayesaidia kumkamata Kiongozi Mkuu wa Waasi ikiwemo Kundi la M23, Corneille Nangaa na Viongozi wengine wawili wa kundi ndani ya kundi hilo.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 imeahidi kutoa Dola milioni tano (5) ambazo ni zaidi ya Shilingi bilioni (13) kwa yeyote atakayesaidia kumkamata Kiongozi Mkuu wa Waasi ikiwemo Kundi la M23, Corneille Nangaa na Viongozi wengine wawili wa kundi ndani ya kundi hilo.
