Privaldinhon

"Huyu anasema bodi ya ligi sahihi kuahirisha mchezo, sasa tujiulize Ametumia kanuni ya 34 kuwa inawapa nafasi bodi ya ligi kufanya maamuzi ya kusimamisha mchezo?

However nimeona Amejikita kwenye kipengele cha Dharura. Its fine, wacha tuangalie kanuni hiyo inasemaje?

Sasa tujiulize hii dharura iliripotiwa na nani? Madhara kiasi gani yalipelekea makolo wasicheze hii mechi? Kuzuiwa kuingia uwanjani ni dharura?

Ukimsikiliza Jemedari anasema eti sio lazima wasimamizi wa mchezo kuwepo wakati wa mazoezi, sasa hiyo report ya kupima madhara na athari inayoweza kukumbana nayo timu wakati wa mazoezi ya mwisho itaandaliwa na nani?

Geof Leah ametoa mfano mzuri kuwa Mazembe walizuiwa kuingia uwanja wa mazoezi siku tatu kule Sudani dhidi ya Al Hilal lakini siku ya mchezo walicheza kwa mwamvuli wa “Under Protest”.

Je kuna mchezaji wa Makolo aliumizwa? Kuna ofisa aliumizwa? Kuna maafa yalitokea? Je walifika kwa Pre Match Meeting kuelezea madhara waliyokumbana nayo?

Je ni sahihi kwa klabu kuweka shiniko kupitia mitandao ya kijamii kutishia kuwa haitacheza bila kueleza madhara waliyokumbana nayo yaliyopelekea washindwe kucheza? Kimsingi ni kama Klabu imetoa maagizo kwa mamlaka kitu gani cha kufanya.

Huyu mtu ni kiongozi wa timu ya mpira ambaye anahubiri mpira wa miguu kusitishwa kuchezwa kwa sababu za kisiasa ambazo kimsingi adhabu ipo wazi kwenye kanuni??

FIFA mara zote wanahubiri mpira kuchezwa hata kama kuna malalamiko basi taratibu za malalamiko ziko wazi.

Ni aibu kwa mtu mzoefu kwenye mpira kama huyu kuzidiwa hoja na Bwana mdogo Hans. Hans leo ameuthibitishia UMMMA kuwa kuna shida kubwa mahala"

Privaldinhon ✍️ "Huyu anasema bodi ya ligi sahihi kuahirisha mchezo, sasa tujiulize Ametumia kanuni ya 34 kuwa inawapa nafasi bodi ya ligi kufanya maamuzi ya kusimamisha mchezo? However nimeona Amejikita kwenye kipengele cha Dharura. Its fine, wacha tuangalie kanuni hiyo inasemaje? Sasa tujiulize hii dharura iliripotiwa na nani? Madhara kiasi gani yalipelekea makolo wasicheze hii mechi? Kuzuiwa kuingia uwanjani ni dharura? Ukimsikiliza Jemedari anasema eti sio lazima wasimamizi wa mchezo kuwepo wakati wa mazoezi, sasa hiyo report ya kupima madhara na athari inayoweza kukumbana nayo timu wakati wa mazoezi ya mwisho itaandaliwa na nani? Geof Leah ametoa mfano mzuri kuwa Mazembe walizuiwa kuingia uwanja wa mazoezi siku tatu kule Sudani dhidi ya Al Hilal lakini siku ya mchezo walicheza kwa mwamvuli wa “Under Protest”. Je kuna mchezaji wa Makolo aliumizwa? Kuna ofisa aliumizwa? Kuna maafa yalitokea? Je walifika kwa Pre Match Meeting kuelezea madhara waliyokumbana nayo? Je ni sahihi kwa klabu kuweka shiniko kupitia mitandao ya kijamii kutishia kuwa haitacheza bila kueleza madhara waliyokumbana nayo yaliyopelekea washindwe kucheza? Kimsingi ni kama Klabu imetoa maagizo kwa mamlaka kitu gani cha kufanya. Huyu mtu ni kiongozi wa timu ya mpira ambaye anahubiri mpira wa miguu kusitishwa kuchezwa kwa sababu za kisiasa ambazo kimsingi adhabu ipo wazi kwenye kanuni?? FIFA mara zote wanahubiri mpira kuchezwa hata kama kuna malalamiko basi taratibu za malalamiko ziko wazi. Ni aibu kwa mtu mzoefu kwenye mpira kama huyu kuzidiwa hoja na Bwana mdogo Hans. Hans leo ameuthibitishia UMMMA kuwa kuna shida kubwa mahala"
Like
1
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·99 Просмотры