Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Uasin Gishu Nchini Kenya wameanzisha uchunguzi baada ya Mwanamume mmoja kuanzisha kituo kidogo cha Polisi kinyume cha sheria na bila idhini ya mamlaka Nchini humo. Ripoti zinasema kuwa Mwanaume huyo wa Kijiji cha Asis alijipa jukumu la kufungua kituo hicho na kupaka rangi rasmi za Jeshi la Polisi

Mamlaka bado hazijabaini sababu za Mshukiwa kuanzisha kituo hicho na amekamatwa kwa uchunguzi zaidi huku Wananchi wa eneo hilo wakishindwa kubaini kuwa kituo hicho kilikuwa "feki" badala yake waliendelea kupatiwa huduma wakidhani kuwa Jeshi la Polisi limesogezea huduma hiyo karibu ili kulinda usalama wa eneo hilo.

Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Uasin Gishu Nchini Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช wameanzisha uchunguzi baada ya Mwanamume mmoja kuanzisha kituo kidogo cha Polisi kinyume cha sheria na bila idhini ya mamlaka Nchini humo. Ripoti zinasema kuwa Mwanaume huyo wa Kijiji cha Asis alijipa jukumu la kufungua kituo hicho na kupaka rangi rasmi za Jeshi la Polisi Mamlaka bado hazijabaini sababu za Mshukiwa kuanzisha kituo hicho na amekamatwa kwa uchunguzi zaidi huku Wananchi wa eneo hilo wakishindwa kubaini kuwa kituo hicho kilikuwa "feki" badala yake waliendelea kupatiwa huduma wakidhani kuwa Jeshi la Polisi limesogezea huduma hiyo karibu ili kulinda usalama wa eneo hilo.
0 Comments ยท0 Shares ยท3 Views