"Mimi sio Mcameroon mimi ni mfaransa, wakati naanza kucheza mpira, wakati nikiwa bado sijulikani Baba yangu aliwasiliana na Fecafoot(shirikisho la mpira la Cameroon) ili wanipe nafasi ya kucheza timu ya taifa ya Cameroon, lakini waliomba kiasi kikubwa sana cha fedha kwetu ndo mimi nipate nafasi ya kucheza"

"Baba yangu alichukizwa na huo mtazamo wao akaamua kwenda kuomba Ufaransa, Ufaransa walinipa nafasi ili niionyeshe dunia ni kipi nilichonacho, leo hii nimekua mchezaji ghali duniani ndipo Cameroon wananiita na kunisifia kwa uraia usio wakwangu, mimi ni mfaransa na nitabaki kuwa Mfaransa" - Kilyan Mbappé, Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Real Madrid.

"Mimi sio Mcameroon mimi ni mfaransa, wakati naanza kucheza mpira, wakati nikiwa bado sijulikani Baba yangu aliwasiliana na Fecafoot(shirikisho la mpira la Cameroon) ili wanipe nafasi ya kucheza timu ya taifa ya Cameroon, lakini waliomba kiasi kikubwa sana cha fedha kwetu ndo mimi nipate nafasi ya kucheza" "Baba yangu alichukizwa na huo mtazamo wao akaamua kwenda kuomba Ufaransa, Ufaransa walinipa nafasi ili niionyeshe dunia ni kipi nilichonacho, leo hii nimekua mchezaji ghali duniani ndipo Cameroon wananiita na kunisifia kwa uraia usio wakwangu, mimi ni mfaransa na nitabaki kuwa Mfaransa" - Kilyan Mbappé, Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Real Madrid.
Like
1
· 0 Reacties ·0 aandelen ·77 Views