Mtoto mmoja mwenye miaka minne (4) kutoka Jijini Wisconsin, Marekani , amepiga simu ya dharura Polisi baada ya Mama yake kula "ice cream" yake huku akiwata Maafisa hao Polisi wanapaswa kumfunga Jela Mama yake Mzazi kwa kutenda kosa hilo la kula "Ice Cream" yake. Katika utetezi kwa Maafisa hao wa Polisi, Mama huyo aliwaambia Polisi kwa njia ya Simu kuwa Mwanae alikasirika sana kwa sababu ya kula "ice cream" hiyo.
Aidha, baada ya Polisi kufika katika Nyumba hiyo ili kuhakikisha hakuna tatizo kubwa zaidi, Mtoto huyo aliwathibitishia kuwa Mama yake kweli alikula "ice cream" yake na akisisitiza lazima apelekwe Jela, lakini baada ya mazungumzo na Maafisa hao Polisi, Mtoto huyo alikubali yaishe na kubadilisha mawazo yake ya kumshtaki Mama yake.

Mtoto mmoja mwenye miaka minne (4) kutoka Jijini Wisconsin, Marekani 🇺🇸, amepiga simu ya dharura Polisi baada ya Mama yake kula "ice cream" yake huku akiwata Maafisa hao Polisi wanapaswa kumfunga Jela Mama yake Mzazi kwa kutenda kosa hilo la kula "Ice Cream" yake. Katika utetezi kwa Maafisa hao wa Polisi, Mama huyo aliwaambia Polisi kwa njia ya Simu kuwa Mwanae alikasirika sana kwa sababu ya kula "ice cream" hiyo.