Taarifa kutoka Nchini Angola zinadai kuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felix Tshisekedi anatarajia kukutana na Waasi cha M23, Jijini Luanda Nchini Angola. Taarifa hii kwa mujibu wa Ofisi ya Rais wa Angola.

Bado hakijafahamika lini na Pande hizo mbili zitatakutana Nchini humo lakini taarifa hiyo inasema kuwa siku chache zijazo Rais wa Félix Tshisekedi atakutana na Waasi hao ili kutatua tatizo la usalama mdogo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Taarifa kutoka Nchini Angola 🇦🇴 zinadai kuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Felix Tshisekedi anatarajia kukutana na Waasi cha M23, Jijini Luanda Nchini Angola. Taarifa hii kwa mujibu wa Ofisi ya Rais wa Angola. Bado hakijafahamika lini na Pande hizo mbili zitatakutana Nchini humo lakini taarifa hiyo inasema kuwa siku chache zijazo Rais wa Félix Tshisekedi atakutana na Waasi hao ili kutatua tatizo la usalama mdogo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Like
1
· 0 Kommentare ·0 Anteile ·33 Ansichten