Ni mwendo wa kuchambua kila kitu, hakuna cha kupoteza.
"UZINDUZI WA AIRTEL SDTADIUM,KAPETI LA SINGIDA BLACK STARS..Kudos @singidablackstarssc 👏🏻👏🏻👏🏻
Wakubwa wa Kariakoo mtapanga kwa watoto Mpaka Lini? Kila Mwaka kuna Michoro mipya ya Uwanja hasa Uchaguzi ukikaribia
Ukiwa na Kiwanja chako hata Ukituwekea Mabaunsa 10000 Kidogo unaweza Kueleweka.
Au Ukiwa na Kiwanja Chako Mwenyewe hakuna mtu atakuuliza eti mbona umekuja Kufanya Mazoezi bila Kutoa taarifa?
Ukiwa na Kiwanja chako unaweza Kuja hata na Ng’ombe Mazoezini ,mbuzi Kitu gani?
Note; Cha Muhimu zaidi Dimba hili linapatikana Pale MTIPA" - Wilson Orumo, Mchambuzi

Wakubwa wa Kariakoo mtapanga kwa watoto Mpaka Lini? Kila Mwaka kuna Michoro mipya ya Uwanja hasa Uchaguzi ukikaribia 😅😅😅😅🙌
Ukiwa na Kiwanja chako hata Ukituwekea Mabaunsa 10000 Kidogo unaweza Kueleweka.
Au Ukiwa na Kiwanja Chako Mwenyewe hakuna mtu atakuuliza eti mbona umekuja Kufanya Mazoezi bila Kutoa taarifa?
Ukiwa na Kiwanja chako unaweza Kuja hata na Ng’ombe Mazoezini ,mbuzi Kitu gani? 😅
Note; Cha Muhimu zaidi Dimba hili linapatikana Pale MTIPA✅" - Wilson Orumo, Mchambuzi ✍️
0 Комментарии
·0 Поделились
·41 Просмотры