Jumatano ya Machi 17, 2021, Nchi ya Tanzania iligubikwa na simanzi zito ya kumpoteza Rais wao aliyekuwa madarakani, Dk John Pombe Magufuli maarufu JPM. Ni kwa mara ya kwanza Taifa hili la Afrika Mashariki kushuhudia Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia. Kifo chake kilitangazwa na Samia Suluhu Hassan, aliyekuwa Makamu wa Rais.

Dk Magufuli aliyezaliwa Chato Mkoani Geita, Oktoba 29, 1959 alihitimisha utawala wake wa miaka mitano na miezi minne aliouanza Novemba 5, 2015 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyoma Jijini Dar es Salaam kwa maradhi ya moyo.

Leo Jumatatu Machi 17, 2025, ndugu, jamaa na marafiki watamkumbuka kwa Ibada itakayofanyikia Chato ambayo imeandaliwa na familia yake.

Jumatano ya Machi 17, 2021, Nchi ya Tanzania 🇹🇿 iligubikwa na simanzi zito ya kumpoteza Rais wao aliyekuwa madarakani, Dk John Pombe Magufuli maarufu JPM. Ni kwa mara ya kwanza Taifa hili la Afrika Mashariki kushuhudia Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia. Kifo chake kilitangazwa na Samia Suluhu Hassan, aliyekuwa Makamu wa Rais. Dk Magufuli aliyezaliwa Chato Mkoani Geita, Oktoba 29, 1959 alihitimisha utawala wake wa miaka mitano na miezi minne aliouanza Novemba 5, 2015 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyoma Jijini Dar es Salaam kwa maradhi ya moyo. Leo Jumatatu Machi 17, 2025, ndugu, jamaa na marafiki watamkumbuka kwa Ibada itakayofanyikia Chato ambayo imeandaliwa na familia yake.
0 Комментарии ·0 Поделились ·65 Просмотры