Muungano wa Waasi wa kundi la AFC/M23 umetangaza kutoshiriki mazungumzo ya amani huku wakiituhumu Serikali ya Kinshasa kwa kuendeleza vita. Katika taarifa ya Kundi hilo iliyotolewa Februari 17, 2025, Waasi hao wa M23 wameituhumu Serikali ya Rais Félix Tshisekedi kwa kuendesha mashambulizi ya ardhini kwa kutumia Ndege za kivita wakati wanajua fike wapo kwenye hatua za mwisho kuelekea kwenye mkutano wa amani Nchini Angola .
Ikumbukwe kwamba Waasi hao wa AFC/M23 walikuwa tayari wameshawateua Wawakilishi wao na kuthibitisha kuwa watatuma Wawakilishi hao Nchini Jijini Luanda, Angola kwa ajili ya mazungumzo ya maani ambayo yamepangwa kufanyika Machi 18, 2025.

Muungano wa Waasi wa kundi la AFC/M23 umetangaza kutoshiriki mazungumzo ya amani huku wakiituhumu Serikali ya Kinshasa kwa kuendeleza vita. Katika taarifa ya Kundi hilo iliyotolewa Februari 17, 2025, Waasi hao wa M23 wameituhumu Serikali ya Rais Félix Tshisekedi kwa kuendesha mashambulizi ya ardhini kwa kutumia Ndege za kivita wakati wanajua fike wapo kwenye hatua za mwisho kuelekea kwenye mkutano wa amani Nchini Angola 🇦🇴.
Ikumbukwe kwamba Waasi hao wa AFC/M23 walikuwa tayari wameshawateua Wawakilishi wao na kuthibitisha kuwa watatuma Wawakilishi hao Nchini Jijini Luanda, Angola kwa ajili ya mazungumzo ya maani ambayo yamepangwa kufanyika Machi 18, 2025.
0 Commentaires
·0 Parts
·43 Vue