Klabu ya Yanga SC imefungua malalamiko kwenye Mahakama ya usuhishi wa michezo Duniani (CAS) baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF. Klabu ya Yanga haina imani na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamuwa kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao.

Mara ya baada ya kutuma malalamiko yao CAS, klabu ya Yanga SC itasubiri taratibu kutoka katika Mahakama hiyo kisha kesi yao kuanza kusikilizwa.

Klabu ya Yanga SC imefungua malalamiko kwenye Mahakama ya usuhishi wa michezo Duniani (CAS) baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF. Klabu ya Yanga haina imani na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamuwa kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao. Mara ya baada ya kutuma malalamiko yao CAS, klabu ya Yanga SC itasubiri taratibu kutoka katika Mahakama hiyo kisha kesi yao kuanza kusikilizwa.
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·24 Views