Nchi ya Israeli imeanza upya mashambulizi yake ya anga ya dhidi ya Gaza, na kuua halaiki ya Wapalestina usiku kucha huku Mamia ya Watu wakijeruhiwa katika mashambulizi hayo. Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu imeishutumu Hamas kwa kushindwa kuwarudisha mateka wa Israel wapatao (59) waliosalia baada ya kuanzisha tena vita vyake dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Netanyahu aliviamuru vikosi vya Israeli kurudi vitani huko Gaza, akisema mashambulizi ya anga na ardhini dhidi ya Wapalestina yataendelea hadi pale Hamas itakapowaachilia mateka wote. Idadi ya vifo vinavyotokana na mashambulizi hayo yameongezeka hadi kufikia takribani Wapalestina 340.

Nchi ya Israeli ๐ฎ๐ฑ imeanza upya mashambulizi yake ya anga ya dhidi ya Gaza, na kuua halaiki ya Wapalestina usiku kucha huku Mamia ya Watu wakijeruhiwa katika mashambulizi hayo. Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu imeishutumu Hamas kwa kushindwa kuwarudisha mateka wa Israel wapatao (59) waliosalia baada ya kuanzisha tena vita vyake dhidi ya Wapalestina huko Gaza.