World Happiness Report 2025 imetangaza orodha ya Nchi zenye furaha zaidi Duniani huku Nchi ya Finland ikiendelea kushika nafasi ya kwanza kwa mwaka wa nane (8) mfululizo, Tanzania imeshika nafasi ya 136 kati ya Nchi 147, ikishuka kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 131 mwaka uliopita. Nafasi ya sasa inaiweka Nchi hiyo kuwa miongoni mwa Nchi 11 za mwisho Duniani kwa viwango vya furaha.

Cha kushangaza ni kwamba Tanzania , licha ya kuwa na amani na utajiri mkubwa wa maliasili, imepitwa hata na mataifa yenye migogoro kama Somalia . Nchi jirani kama Kenya na Uganda , ambazo mara kwa mara hukumbwa na changamoto za kisiasa na kiusalama, zimepata nafasi za juu zaidi. Hapa chini ni orodha ya Nchi zenye furaha kwa mujibu wa World Happiness Report 2025, kuonyesha kumi bora na zilizoshika mkia. Kwa Afrika Mauritius inaongoza, wakati Lebanon , Sierra Leone na Afghanistan ni Nchi tatu za mwisho Duniani.

1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Sweden
5. Uholanzi

6. Costa Rica
7. Norway
8. Israel
9. Luxemborg
10.Mexico

78. Mauritius
79. Libya
84. Algeria
115. Kenya
116. Uganda

122. Somalia
136. Tanzania
145. Lebanon
146. Sierra Leone
147. Afghanistan

World Happiness Report 2025 imetangaza orodha ya Nchi zenye furaha zaidi Duniani huku Nchi ya Finland ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ ikiendelea kushika nafasi ya kwanza kwa mwaka wa nane (8) mfululizo, Tanzania imeshika nafasi ya 136 kati ya Nchi 147, ikishuka kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 131 mwaka uliopita. Nafasi ya sasa inaiweka Nchi hiyo kuwa miongoni mwa Nchi 11 za mwisho Duniani kwa viwango vya furaha. Cha kushangaza ni kwamba Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, licha ya kuwa na amani na utajiri mkubwa wa maliasili, imepitwa hata na mataifa yenye migogoro kama Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด. Nchi jirani kama Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, ambazo mara kwa mara hukumbwa na changamoto za kisiasa na kiusalama, zimepata nafasi za juu zaidi. Hapa chini ni orodha ya Nchi zenye furaha kwa mujibu wa World Happiness Report 2025, kuonyesha kumi bora na zilizoshika mkia. Kwa Afrika Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท inaongoza, wakati Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง, Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑna Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ ni Nchi tatu za mwisho Duniani. 1. Finland ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ 2. Denmark ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ 3. Iceland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ธ 4. Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช 5. Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ 6. Costa Rica ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ท 7. Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด 8. Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ 9. Luxemborg ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ 10.Mexico ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ 78. Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท 79. Libya ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ 84. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ 115. Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 116. Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ 122. Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด 136. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 145. Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง 146. Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ 147. Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ
0 Comments ยท0 Shares ยท54 Views