Kwa mujibu wa Magazeti Nchini Burkina Faso , Aziz K alitoa sharti la kusafiri na Mke wake Hamisa Mobeto kwenda kuitumikia Timu ya Taifa (Les Étalons) na alipiwe gharama zote za safari hadi Nchini Burkina Faso. Lakini Jambo ambalo lilikaliwa na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Burkina Faso, Brama Traoré.
Ikumbukwe kwamba Kocha Traoré alitangaza kikosi chake kwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 huku Aziz K hajaitwa. Timu ya Taifa ya Burkina Faso inajiandaa na mchezo dhidi ya Timu ya Taifa ya Djibouti Machi 21, na baadae itacheza dhidi ya Timu ya Taifa ya Guinea-Bissau Machi 24, 2025
Burkina Faso wapo nafasi ya 3 wakiwa na alama tano 5, katika kundi A linaloongozwa na Misri wenye alama 10.

Kwa mujibu wa Magazeti Nchini Burkina Faso ๐ง๐ซ, Aziz K alitoa sharti la kusafiri na Mke wake Hamisa Mobeto kwenda kuitumikia Timu ya Taifa (Les Étalons) na alipiwe gharama zote za safari hadi Nchini Burkina Faso. Lakini Jambo ambalo lilikaliwa na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Burkina Faso, Brama Traoré.
Ikumbukwe kwamba Kocha Traoré alitangaza kikosi chake kwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 huku Aziz K hajaitwa. Timu ya Taifa ya Burkina Faso inajiandaa na mchezo dhidi ya Timu ya Taifa ya Djibouti ๐ฉ๐ฏ Machi 21, na baadae itacheza dhidi ya Timu ya Taifa ya Guinea-Bissau ๐ฌ๐ผ Machi 24, 2025
Burkina Faso ๐ง๐ซ wapo nafasi ya 3 wakiwa na alama tano 5, katika kundi A linaloongozwa na Misri ๐ช๐ฌ wenye alama 10.
0 Comments
ยท0 Shares
ยท36 Views