Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kuondoa hitaji la visa kwa Watanzania wanaoingia Nchini humo, kuanzia tarehe 20 Machi, 2025. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.
Ikumbukwe kwamba Nchi ya Tanzania ilikuwa imeondoa utaratibu wa malipo ya visa kwa Raia wa DRC tangu Septemba 2, 2023, ikitarajia hatua ya kurudishiwa fadhila. Uamuzi wa sasa wa DR Congo unaimarisha mahusiano ya ujirani mwema na kufungua fursa zaidi za biashara na ushirikiano wa kikanda.
Serikali ya Tanzania imesifu hatua hiyo, ikisisitiza kuwa inalingana na ajenda za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Hatua hii inaashiria ushirikiano bora wa kidiplomasia na unaleta unafuu mkubwa kwa Wafanyabiashara na wasafiri wa pande zote mbili.

Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐จ๐ฉ imetangaza rasmi kuondoa hitaji la visa kwa Watanzania wanaoingia Nchini humo, kuanzia tarehe 20 Machi, 2025. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.
Ikumbukwe kwamba Nchi ya Tanzania ๐น๐ฟ ilikuwa imeondoa utaratibu wa malipo ya visa kwa Raia wa DRC tangu Septemba 2, 2023, ikitarajia hatua ya kurudishiwa fadhila. Uamuzi wa sasa wa DR Congo unaimarisha mahusiano ya ujirani mwema na kufungua fursa zaidi za biashara na ushirikiano wa kikanda.
Serikali ya Tanzania imesifu hatua hiyo, ikisisitiza kuwa inalingana na ajenda za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Hatua hii inaashiria ushirikiano bora wa kidiplomasia na unaleta unafuu mkubwa kwa Wafanyabiashara na wasafiri wa pande zote mbili.
0 Comments
ยท0 Shares
ยท35 Views