“Siku yangu ya kwanza nilipoenda kufanya majaribio nilichekwa sana, nilivalia suruali ndefu na viatu vyangu vilichanika sana, watu waliniona kama kituko, sikuonekana kama mcheza soka” - Sadio Mane, Mchezaji wa kimataifa wa Senegal na klabu ya Al Nasr ya Saudi Arabia .
Rekodi yake.
- Mechi : 686.
- Mabao : 277.
- "Assists" : 136.
Rekodi yake.
- Mechi : 686.
- Mabao : 277.
- "Assists" : 136.
“Siku yangu ya kwanza nilipoenda kufanya majaribio nilichekwa sana, nilivalia suruali ndefu na viatu vyangu vilichanika sana, watu waliniona kama kituko, sikuonekana kama mcheza soka” - Sadio Mane, Mchezaji wa kimataifa wa Senegal πΈπ³ na klabu ya Al Nasr ya Saudi Arabia πΈπ¦.
Rekodi yake.
- Mechi : 686.
- Mabao : 277.
- "Assists" : 136.
