Nchi ya China imeanzisha utafiti wa Wataalam kuwa na uwezo kutambua (kubaini) ugonjwa wa Mtu kupitia mshuzi wake ambapo wataandaliwa Watu maalum ambao watapewa mafunzo kisa kupewa kibali baada ya mafunzo hayo ili kuonyesha kuwa wao ni "Professional Fart Smeller" na watakuwa na kazi maalum ya kubaini ugonjwa wa Mtu kupitia mshuzi wake.

Nchi ya China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ imeanzisha utafiti wa Wataalam kuwa na uwezo kutambua (kubaini) ugonjwa wa Mtu kupitia mshuzi wake ambapo wataandaliwa Watu maalum ambao watapewa mafunzo kisa kupewa kibali baada ya mafunzo hayo ili kuonyesha kuwa wao ni "Professional Fart Smeller" na watakuwa na kazi maalum ya kubaini ugonjwa wa Mtu kupitia mshuzi wake.
Like
2
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท89 Views