Baada ya kikao kilichofanyika leo hii katika ofisi za Baraza la Michezo Tanzania (BMT), ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, imeelezwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, hakuja kutoa maamuzi bali kutafuta suluhisho kuhusu hatima ya Dabi ya Kariakoo, iliyokuwa ipigwe Machi 8, 2025 lakini ikaahirishwa.
"Mheshimiwa Waziri amekuwa na mwanzo mzuri kwa kueleza kwamba jukwaa hilo siyo la maamuzi, bali ni la kutafuta suluhisho la tatizo lililotokea." - Eng. Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga SC
Aidha, Rais huyo wa klabu ya Yanga SC amewahakikishia Wanachama wa klabu hiyo kuwa Uongozi wao uko imara na unafanya kila jitihada kuhakikisha maslahi ya klabu yanalindwa.Kikao hicho kimewakutanisha Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) na klabu ya Yanga SC, ambapo pande zote zimepata fursa ya kuwasilisha hoja zao kwa Waziri Kabudi.

0 Commentarii
·0 Distribuiri
·129 Views