Rais wa Nchi ya Burkina Faso , Kapteni Ibrahim Traoré ametoa msamaha kwa Wanajeshi (21) waliojaribu kufanya mapinduzi ya Serikali ya Septemba mwaka 2015. Katika amri iliyosainiwa Machi 24 na kuwekwa hadharani Jumapili hii, Kapteni Traore aliweka masharti ya msamaha huu, ambao ulipigiwa kura na Bunge la Nchi hiy Desemba iliyopita.
Wanajeshi hao (21), wakiwemo Maafisa, Maafisa wasio na kamisheni na Vyeo vingine, walifikishwa mahakamani na kutiwa hatiani kwa matendo yaliyofanywa Septemba 15 na 16, 2015, inasema amri iliyotiwa saini na Rais wa Nchi hiyo Kapteni Ibrahim Traore. Amri hii iliyopitishwa na Bunge mwishoni mwa Desemba 2024 ya msamaha na masharti ya kutoa msamaha kwa Watu waliopatikana na hatia kuhusiana na mapinduzi yaliyofeli ya 2015.
Sheria hii pia imeweka wazi kwamba Askari waliotiwa hatiani au kufunguliwa mashtaka kuhusiana na kesi hii, wakionyesha kujitolea katika mapambano dhidi ya ugaidi Nchini humo, wanaweza kupata fursa ya neema ya msamaha ili kupandishwa cheo kazini.

Rais wa Nchi ya Burkina Faso 🇧🇫, Kapteni Ibrahim Traoré ametoa msamaha kwa Wanajeshi (21) waliojaribu kufanya mapinduzi ya Serikali ya Septemba mwaka 2015. Katika amri iliyosainiwa Machi 24 na kuwekwa hadharani Jumapili hii, Kapteni Traore aliweka masharti ya msamaha huu, ambao ulipigiwa kura na Bunge la Nchi hiy Desemba iliyopita.
Wanajeshi hao (21), wakiwemo Maafisa, Maafisa wasio na kamisheni na Vyeo vingine, walifikishwa mahakamani na kutiwa hatiani kwa matendo yaliyofanywa Septemba 15 na 16, 2015, inasema amri iliyotiwa saini na Rais wa Nchi hiyo Kapteni Ibrahim Traore. Amri hii iliyopitishwa na Bunge mwishoni mwa Desemba 2024 ya msamaha na masharti ya kutoa msamaha kwa Watu waliopatikana na hatia kuhusiana na mapinduzi yaliyofeli ya 2015.
Sheria hii pia imeweka wazi kwamba Askari waliotiwa hatiani au kufunguliwa mashtaka kuhusiana na kesi hii, wakionyesha kujitolea katika mapambano dhidi ya ugaidi Nchini humo, wanaweza kupata fursa ya neema ya msamaha ili kupandishwa cheo kazini.
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·127 Visualizações